Furaha ya Kweli na Amani ya Ndani

Ukadiriaji:
Ukubwa wa herufi:
A- A A+

Maelezo: Jinsi Uislamu unavyofafanua furaha ya kweli na amani moyoni.

  • Na islam-guide.com
  • Iliyochapishwa mnamo 03 Dec 2021
  • Ilirekebishwa mara ya mwisho mnamo 18 Nov 2021
  • Ilichapishwa: 1
  • Imetazamwa: 3,019 (wastani wa kila siku: 3)
  • Ukadiriaji: bado hakuna
  • Imekadiriwa na: 0
  • Imetumwa kwa barua pepe: 0
  • Ilitoa maoni kuhusu: 0
Mbaya Nzuri zaidi

Real_Happiness_and_Inner_Peace_001.jpgFuraha ya kweli na amani inapatikana kwa kutii amri za Muumba na Mtegemezi wa ulimwengu huu. Mungu amesema katika Kurani:

"Kwa kweli, katika kumkumbuka Mungu mioyo hupata raha na utulivu." (Kurani 13:28)

Kwa upande mwingine, yule ambaye hatakifuata kitabu kitukufu atakuwa na maisha ya shida katika ulimwengu huu. Mungu amesema:

" Atakayeiacha Qur'ani,[1] atakuwa na maisha magumu, na tutamfufua kipofu katika siku ya Kiyama." (Kurani 20: 124)

Hii inaweza kuwa kielelezo ni kwanini watu wengine hujiua wakati wanafurahia raha ya mali inayoweza kununuliwa na pesa. Kwa mfano, angalia Cat Stevens (sasa Yusuf Islam), zamani alikuwa mwimbaji maarufu wa 'pop' ambaye alikuwa akipata zaidi ya dola 150,000 kwa usiku. Baada ya kusilimu, alipata furaha ya kweli na amani, ambayo hakupata katika mafanikio ya mali.[2]




Rejeleo la maelezo:

[1] Yaani haamini Kurani wala haitii amri zake.

[2] Anwani ya barua ya sasa ya Cat Stevens (Yusuf Islam), ikiwa ungependa kumuuliza juu ya hisia zake baada ya kusilimu, ni: 2 Digswell Street, London N7 8JX, Uingereza.

Mbaya Nzuri zaidi

Ongeza maoni

  • (Haitaonyeshwa kwa umma)

  • Maoni yako yatakaguliwa na yanapaswa kuchapishwa ndani ya saa 24.

    Sehemu zilizo na alama ya nyota (*) zinahitajika.

Makala Nyingine katika Aina moja

Iliyotazamwa Zaidi

Kila siku
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
jumla
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Chaguo la Mhariri

(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Orodha Yaliyomo

Tangu ulivyo tembelea mara ya mwisho
Orodha hii ipo tupu kwa sasa.
Zote kwa tarehe
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)

Maarufu sana

Iliyokadiriwa juu zaidi
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
Iliyotumwa  kwa barua pepe zaidi
Iliyochapishwa zaidi
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
(Soma zaidi...)
Iliyotolewa maoni zaidi
(Soma zaidi...)

Unazozipenda

Orodha ya unazozipenda ipo tupu. Unaweza kuongeza makala kwenye orodha hii kwa kutumia zana za makala.

Historia yako

(Soma zaidi...) Ondoa